Kiingereza, lugha ya Kiingereza, jinsi ya kujifunza Kiingereza, kujifunza, kujifunza lugha ya kigeni - - Jinsi ya kujiandaa kwa ajili ya mtihani wa kuingia. Kamusi Mwafaka kwa Shule za Msingi itawafaa sana wanafunzi wa shule za msingi kuelewa maana na matumizi ya maneno wanayokumbana nayo katika Kiswahili cha kiwango.
TUKI KAMUSI YA KISWAHILI-KIINGEREZA Author: M.M. Mulokozi Publisher: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM Publication date: 2001 ISBN: 9976 911 44 0 Number of pages: 349 Format: pdf Size: 3,4 MB Kamusi hii ya Kiswahili-Kiingereza ina historia ndefu.
Wazo la kutunga kamusi hii ilianzishwa mwaka 1964 na Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili (ambacho kuanzia mwaka 1972 kilijulikana kama Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili). Wazo hili lilibuniwa wakati wa enzi ya Profesa Wilfred H.Whitely, ambaye wakati huo alikuwa ndiye Mkurugenzi wa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili, ikiwa ni miaka 25 baada ya kuchapishwa kwa kamusi ya Johnson ijulikanayo kama Standard Swahili-English Dictionary (1939).
Kazi ya utunzi wa kamusi mpya ilianza baada ya shirika lijulikanalo kama Calouste Gulbenkian Foundation kutoa msaada wa pesa kwa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 1964 hadi Octoba 1967 ili kukiwezesha chuo kumwajiri mchunguzi atakayeweza kuifanya kazi hiyo.
TUKI KAMUSI YA KISWAHILI-KIINGEREZA Author: M.M. Mulokozi Publisher: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM Publication date: 2001 ISBN: 9976 911 44 0 Number of pages: 349 Format: pdf Size: 3,4 MB Kamusi hii ya Kiswahili-Kiingereza ina historia ndefu. Wazo la kutunga kamusi hii ilianzishwa mwaka 1964 na Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili (ambacho kuanzia mwaka 1972 kilijulikana kama Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili). Wazo hili lilibuniwa wakati wa enzi ya Profesa Wilfred H.Whitely, ambaye wakati huo alikuwa ndiye Mkurugenzi wa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili, ikiwa ni miaka 25 baada ya kuchapishwa kwa kamusi ya Johnson ijulikanayo kama Standard Swahili-English Dictionary (1939). Kazi ya utunzi wa kamusi mpya ilianza baada ya shirika lijulikanalo kama Calouste Gulbenkian Foundation kutoa msaada wa pesa kwa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 1964 hadi Octoba 1967 ili kukiwezesha chuo kumwajiri mchunguzi atakayeweza kuifanya kazi hiyo.
Comments are closed.
|
Details
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |